
*🌹🌹Mafunzo sahihi ya ndoa*
7.8K subscribers
About *🌹🌹Mafunzo sahihi ya ndoa*
*🌹🌹Channel yetu inahusiana na mafunzo sahihi ndoa, na mafunzo haya yatatolewa kwa mujibu wa kitabu na sunna kwa ufaham wema walio tangulia, na tutayatoa mafunzo haya kwa mfumo wa makala na vibango na muandaaji wetu ni ndugu yetu Abou hudaa Al-jaziiriyyi (Allah amhifadhi).*
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

*https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R* *🌹🌹CHAKULA CHA MUME KWA FAMILIA YAKE NI SWADAQA KAMA ATANUIA SWADAQA* Darsa namba (1) *عن أبي مسعود البدري رضي الله عنه قال :* *Kutoka kwa ibn masu'ud Al-badri Allah amridhie amesema:* *قال النبي صلى الله عليه وسلم :* *📝Amesema mtume (swala na salaam ziwe juu yake):* *إن المسلم إذا أنفق على أهله نفقة يحتسبها كانت له صدقة . رواه البخاري (55) ومسلم (1002) .* *Hakika ya muislam pindi akitoa chakula kwa Ahli yake akatarajia malipo kwa chakula hiko, basi kitahesabiwa kuwa ni swadaka kwake.* (Kaipokea imam bukhary (55) na muslim (1002) *فنفقة الرجل على زوجته وأولاده واجب شرعي ، ولا يثاب عليها إلا إن قصد الاحتساب .* *Matumizi ya mume kwa mkewe na watoto wake ni wajibu wa kisharia, na wala hapati thawabu isipokuwa atakapo tia nia ya kulipwa."* ══════ ❁✿❁ ══════ *📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹* *📡Subscribe my WhatsApp channel* *https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R* *🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa* https://chat.whatsapp.com/E6Zc5ubeFUg8zisCYsvRxS *🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga* *https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa* *VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌* *💉Kuwa muadilifu usibadili chochote* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R *🌹🌹JE KAZI YA MWANAMKE NYUMBANI KWAKE ANAPATA THAWABU❓* Darsa namba (1) *السؤال: 69960 هل إذا عملت المرأة في بيتها دون احتساب نية أجر العمل عند الله تؤجر على عملها أم لا يحسب لها ؟.* *✍️Swali: je Ikiwa mwanamke anafanya kazi nyumbani kwake bila kukusudia kupata thawabu kutoka kwa Allah kwa kazi yake, je atalipwa thawabu kwa kazi hiyo au haitahesabiwa chochote kwake?* *الجواب: عمل المرأة في بيتها عمل عظيم تساهم به في نشر المودة والرحمة في بيتها ،* *📝Jawabu: Kazi ya mwanamke nyumbani kwake ni amali kubwa ambayo kwayo huchangia katika kueneza upendo na huruma nyumbani kwake.* *ولها اليد الطولى في المساهمة في تربية أولادها ، وهي مُعينة لزوجها على عمله وعلى دعوته .* *Ana jukumu kubwa katika kulea watoto wake, na kumsaidia mume wake katika kazi yake, na kumuitika anapo muita.* *وهذا العمل – شأنه في ذلك شأن سائر الأعمال – لا تثاب عليها المرأة إلا إذا أخلصت فيه النية لله تعالى .* *Na kazi hii inakuwa ni kazi kama kazi zingine hapati thawabu kwa kuzifanya kwake isipokuwa atakapo itakasa nia yake kwa Allah mtukufu.* *وهذه بعض النصوص المؤيدة لهذا مع نقل طائفة من أقوال أهل العلم :* *Na hizi ni baadhi ya dalili zinazo tia nguvu jambo hili pamoja na kuwanukuu kundi katika wenye elimu* *1. ذكر البخاري رحمه الله تعالى في كتاب الإيمان باباً عدَّد فيه واجبات شرعية ، وذكر فيه احتساب الأجر على فعله .* *Imam Al-Bukhari, Allah amrehemu, ametaja katika Kitabul iman mlango ambao ameorodhesha mambo ya wajibu, na akataja malipo ya kuzifanya."* Itaendelea fatilia darsa ijayo..... ══════ ❁✿❁ ══════ *📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹* *📡Subscribe my WhatsApp channel* *https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R* *🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa* *https://chat.whatsapp.com/FW4aG9M68ruLjzC53NoNab* *🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga* *https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa* *VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌* *💉Kuwa muadilifu usibadili chochote* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R *🌹🌹JE KAZI YA MWANAMKE NYUMBANI KWAKE ANAPATA THAWABU❓* Darsa namba (2) *قال البخاري رحمه الله :* *✍️Amesema imam Al Bukhary (rahimahullah)* *بَاب مَا جَاءَ إِنَّ الأَعْمَالَ بِالنِّيَّةِ وَالْحِسْبَةِ ، وَلِكُلِّ امْرِئٍ مَا نَوَى ،* *Mlango ulokuja kueleza ya kwamba hakika ya matendo ni kwa nia na hesabu, na kwa kila mtu kwa kile alicho nuia* *فَدَخَلَ فِيهِ الإِيمَانُ وَالْوُضُوءُ وَالصَّلاةُ وَالزَّكَاةُ وَالْحَجُّ وَالصَّوْمُ وَالأَحْكَامُ ،* *Na inajumuisha ndani yake imani, Udhu, Swala, Zaka, Hajji, Swaumu, na hukmu zake* *وَقَالَ اللَّهُ تَعَالَى : ( قُلْ كُلٌّ يَعْمَلُ عَلَى شَاكِلَتِهِ ) عَلَى نِيَّتِهِ ،* *📝Akasema Allah mtukufu: sema (ewe muahammad waambie) kila mmoja atafanya kwa nia yake* *نَفَقَةُ الرَّجُلِ عَلَى أَهْلِهِ يَحْتَسِبُهَا صَدَقَةٌ ، وَقَالَ النَّبِيُّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ : ( وَلَكِنْ جِهَادٌ وَنِيَّةٌ ).* *Matumizi ya mwanamume kwa familia yake yanachukuliwa kuwa ni swadaka. Amesema Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam): “Bali ni jihadi na nia."* *❪📚❫ المصْــــدَرُ: ❪ "صحيح البخاري" (1/29) "كتاب الإيمان" .❫* ══════ ❁✿❁ ══════ *📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹* *📡Subscribe my WhatsApp channel* *https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R* *🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa *https://chat.whatsapp.com/Esh5ppRBon198VdsjcOFUo* *🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga* *https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa* *VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌* *💉Kuwa muadilifu usibadili chochote* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

*https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R* *🌹🌹YA KUYAZINGATIA MWANAMMKE WA KIISLAM WAKATI WA KUFANYA KAZI* *فيجوز للمرأة أن تعمل بضوابط، ذكرناها في فتاوى سابقة.* *Inafaa kwa Mke kufanya kazi kwa kuzingatia vigezo tulivyo vitaja katika fatwa zilizo tangulia* *منها: أن يكون العمل في ذاته مباحا، وإذن زوجها، والالتزام بلبس الحجاب الشرعي،* *Miongoni mwa hivo vigezo: kazi yenyewe iwe ya halali, na apewe ruhusa na mumewe, ana avae mavazi ya hijabu ya kisharia* *والبعد عن مخالطة الرجال، أو الخلوة برجل أجنبي عنها.* *Na iwe mbali na kuchanganyika na wanaume, au kujitenga na mwanaume wa kando* *وذكرنا أن المرأة إذا كانت مكفية بنفقة زوجها، أو أبيها، وليست في حاجة إلى العمل؛* *Na tukataja ya kwamba hakika ya mke yakiwa yanamtosha matumizi ya mumewe au baba yake, basi hakuna haja ya kufanya kazi* *فقرارها في بيتها خير لها، وأصون لعرضها، وأبعد لها عن أسباب الفتنة.* *Kutulizana nyumbani kwake ni bora zaidi kwake, kwaajili ya kuilinda heshma yake, na kujiweka mbali na sababu za fitna* *ومتى جاز لها العمل، فلها أن تساعد في الإنفاق على البيت.* *na muda ambao itafaa kwake kufanya kazi, basi jukumu lake kumsaidia mumewe kwa matumizi ya nyumbani* *وليس للزوج أن يجبرها على العمل، أو على النفقة على البيت،* *na haitofaa kwa mume kumlazimisha mkewe juu ya kufanya kazi, au kumlazimisha juu ya kutoa matumizi ya nyumbani."* *❪📚❫ المصْــــدَرُ: ❪ الفتوى: 175825. وانظر أيضا الفتاوى: 28006، 75581، 53828، 445978.❫* ══════ ❁✿❁ ══════ *📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹* *📡Subscribe my WhatsApp channel* *https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R* *🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa* *https://chat.whatsapp.com/FW4aG9M68ruLjzC53NoNab* *🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga* *https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa* *VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌* *💉Kuwa muadilifu usibadili chochote* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

*https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R* *🌹🌹NI WAJIBU KUOGA KWA MAMBO HAYA MAWILI* Darsa namba (1) *وأما الاغتسال فإنه يجب في حالتين :* *📝wanasema ulamaa wa lajna: Ima kuoga hakika yake ni wajibu kwa moja katika hali hizi mbili:* *الأولى : إذا حصل الجماع بأن غيب الرجل كل الحشفة ( أي رأس الذكر ) في فرج المرأة ولو لم يُنزل .* *👉Jambo la kwanza: pindi ikitokea jimai kwa kuzamisha mume dhakari yake (kichwa cha dhakari yake) katika tupu ya mkewe hatakama manii hayaja teremka.* *فيجب الغسل على الرجل والمرأة لقول النبي صلى الله عليه وسلم "* *Ni wajibu kuoga mume na mke kwa kauli yake mtume (swala na salam ziwe juu yake)* *إِذَا جَلَسَ بَيْنَ شُعَبِهَا الْأَرْبَعِ وَمَسَّ الْخِتَانُ الْخِتَانَ فَقَدْ وَجَبَ الْغُسْلُ "* *Pindi mume akikaa baina ya matawi yake (mkewe) manne (akikaa juu yake kwa lengo la kufanya jimai) na zikagusana tupu mbili (kwa kuingia tupu ya mume kwa mkewe) basi hakika imekuwa wajibu (kwao)kuoga* *رواه البخاري ( 291 ) ومسلم ( 349 ) . وفي رواية لمسلم ( وإن لم ينزل )* *Kaipokea imam bukhary (291) na muslim (349). na katika riwaya ya imam musllim, hatakama manii hayakutoka basi wajibu kuoga."* *Fatilia darsa inayo fata........📝* *❪📚❫ المصْــــدَرُ: ❪ فتاوى اللجنة الدائمة ،و الشيخ ابن عثيمين في كتاب فتاوى العلماء في عشرة النساء ( 36 ، 42) و فتاوى منار الإسلام (1/110 ❫* ══════ ❁✿❁ ══════ *📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹* *📡Subscribe my WhatsApp channel* *https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R* *🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa* *https://chat.whatsapp.com/FW4aG9M68ruLjzC53NoNab* *🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga* *https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa* *VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌* *💉Kuwa muadilifu usibadili chochote* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

*https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R* *🌹🌹NI WAJIBU KUOGA KWA MAMBO HAYA MAWILI* Darsa namba (2) *وأما الاغتسال فإنه يجب في حالتين :* *📝wanasema ulamaa wa lajna: Ima kuoga hakika yake ni wajibu kwa moja katika hali hizi mbili:* *الثانية : أن ينزل المني من غير جماع ، فإذا أنزل الرجل أو المرأة وجب عليهما الغسل ،* *Jambo la pili (linalo wajibisha kuoga): ni kuteremka manii bila ya kufanya tendo la ndoa, pindi manii yakiteremka kwa mwanaume au mwanamke ni wajibu kuoga* *وإذا أنزل الرجل دون المرأة أو المرأة دون الرجل وجب الغسل على من أنزل منهما* *Na pindi Mume yakimtoka manii bila ya Mke au Mke yakamtoka manii bila ya Mume basi ni wajibu kuoga kwa yule yalomtoka manii* *لقول الله تعالى : ( وإن كنتم جنباً فاطهروا ) المائدة/6* *🖊️Kwa kuli yake Allah mtukufu: na pindi mukiwa na janaba basi jitwaharisheni. Suuratul maida (6)* *فالغسل يجب بالإنزال وحده وإن لم يحصل جماع ،* *Basi kuoga ni wajibu kwa kuteremka manii peke yake hatakama hapaja patikana tendo la ndoa* *ويجب بالجماع وحده وإن لم يحدث إنزال ، ويجب بهما جميعا .وبالله التوفيق .* *Na wajibu (kuoga) kwa kufanya tendo la ndoa peke yake hatakama manii hayaja teremka, ni wajibu wawili hao kuoga."* *❪📚❫ المصْــــدَرُ: ❪ فتاوى اللجنة الدائمة ،و الشيخ ابن عثيمين في كتاب فتاوى العلماء في عشرة النساء ( 36 ، 42) و فتاوى منار الإسلام (1/110 ❫* ══════ ❁✿❁ ══════ *📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹* *📡Subscribe my WhatsApp channel* *https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R* *🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa* *https://chat.whatsapp.com/FW4aG9M68ruLjzC53NoNab* *🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga* *https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa* *VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌* *💉Kuwa muadilifu usibadili chochote* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R *🌹🌹JE NI WAJIBU KUOSHA KITANDA WAKATI WA KULOWANA KUTOKA NA TENDO LA NDOA❓* Darsa namba (2) *هل يجب غسل الفراش عند تلوّثه من أثر الجماع السؤال:* *👉Je ni wajibu kukisafisha kitanda wakati kikilowana kwa sababu ya yendo la ndoa?* *📝Jawabu kutoka kwa Al-Allaamah imam Abdul Aziiz bin baazi (rahimahullah)* *وإن كان الذي أصاب الفراش مذياً أو غيره من الإفرازات التي تخرج من فرج الرجل أو المرأة* *Pindi kikiwa kile kilicho tapakaa kwenye kitanda ni madhii au kitu kingine katika maji maji ambayo hutoka katika utupu wa mume au mke* *فيجب غسل البقعة التي أصابها ذلك السائل فقط لأن هذه الإفرازات تعتبر نجسة .* *Basi wajibu kuosha baki ya hayo maji maji ambayo wametapakaa kitandani kwa sababu ya jimai, kwani hakika ya haya maji maji huzingatiwa najisi."* *❪📚❫ المصْــــدَرُ: ❪ فتاوى اللجنة الدائمة ،و الشيخ ابن عثيمين في كتاب فتاوى العلماء في عشرة النساء ( 36 ، 42) و فتاوى منار الإسلام (1/110 ❫* ══════ ❁✿❁ ══════ *📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹* *📡Subscribe my WhatsApp channel* *https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R* *🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa* *https://chat.whatsapp.com/FW4aG9M68ruLjzC53NoNab* *🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga* *https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa* *VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌* *💉Kuwa muadilifu usibadili chochote* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R *🌹🌹HUKMU YA KUKATAA KUOLEWA KWA SABABU YA MASOMO AU KAZI* Darsa namba (3) *قال العلامة إمام عبد العزيز بن باز رحمه الله تعالى* *✍️Amesema Al-Allaama imam Abdul Aziiz bin baazi (rahimahullah)* *فإذا لم يتيسر ذلك، وأبى الزوج إلا أن تترك الدراسة، أو التدريس؛ فلا مانع إذا كانت قد درست* *Ikiwa halikuwezekana hilo (kuolewa huku akiendelea na masomo) na mume akakataa isipokuwa mke huyo aache kusoma au kusomesha basi hakuna kizuizi (kuacha kusoma) kama alisoma* *فقد حصلت خيرًا كثيرًا، وعرفت دينها، فتتزوج.* *Kwani hakika yake kaipata kheri nyingi, na ameifahamu dini yake basi ataolewa* *ثم بعد هذا تشتغل بالمطالعة في كتب مفيدة، والسؤال عما أشكل عليها،* *Kisha baada ya hapo atashughulika na kuvisoma vitamu muhimu, na kuuliza yale yanayo mtatiza* *أو يسمح زوجها بعد هذا بالدراسة التكميلية في الجامعة، كل هذا ممكن.* *Au mumewe amruhusu kuendelea na masomo yake katika chuo kikuu baada ya hii. Yote haya yanawezekana."* *❪📚❫ المصْــــدَرُ: ❪ فتاوى الجامع الكبير حكم من يحذر من تزويج من تزوج بأكثر من واحدة❫* ══════ ❁✿❁ ══════ *📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹* *📡Subscribe my WhatsApp channel* *https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R* *🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa* *https://chat.whatsapp.com/FW4aG9M68ruLjzC53NoNab* *🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga* *https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa* *VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌* *💉Kuwa muadilifu usibadili chochote* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*

https://chat.whatsapp.com/EwUMLuTfQfsBdzBn8ZxGJm *🌹🌹KATAZO LA KUUPINGA UKE WENZA* Darsa namba (3) *قال العلامة إمام عبد العزيز بن باز رحمه الله تعالى* *✍️Amesema Al-Allaama imam Abdul Aziiz bin baazi (rahimahullah)* *فالذين يحاربون التعدد من النساء والرجال مصادمون للشرع،* *Wale ambao wanao upinga uke wenza katika wanawake na wanaume basi wanapingana na sharia ya Allah* *ويخشى عليهم من الانسلاخ من الدين -نعوذ بالله- يخشى عليهم في هذا الأمر أن يكونوا منسلخين من دين الله لكراهتهم ما شرع الله،* *Na inahofiwa kwao kuiacha dini, tunajilinda kwa Allah na hilo, inahofiwa kwao kwa jambo hili (kuupinga uke wenza) kuiacha dini kwa kuchukia kwao kile alicho kiwekea sharia Allah* *ولدعواهم أن ذلك يضر المجتمع، أو غير ذلك مما يدعون،* *Na kwa madai yao hakika ya jambo hilo (uke wenza) linadhuru dini, au kwa yasiyo kuwa hayo katika yale wanayo yadai* *فأنا أخشى على هؤلاء أن يرتدوا عن دينهم، وهم لا يشعرون؛* *Basi Mimi ninachelea kwa watu wa aina hii kuritadi katika dini yao, haliyakuwa wao wenyewe hawahisi (kama wameritadi katika dini)* *لأنهم يضادون شرع الله، ويضادون كتاب الله، ويضادون رسول الله، هذا منكر عظيم.* *Kwani hakika yao wanaipinga sharia ya Allah, na wanakipinga kitabu cha Allah na wanampinga mtume (swala na salaam ziwe juu yake)."* *❪📚❫ المصْــــدَرُ: ❪ فتاوى الجامع الكبير حكم من يحذر من تزويج من تزوج بأكثر من واحدة❫* ══════ ❁✿❁ ══════ *📓 ✍️ Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه📖* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹* *📡Subscribe my WhatsApp channel* *https://whatsapp.com/channel/0029VahMBH0Gk1G2rC04T11R* *🔽Jiunge na group la mafunzo sahihi ya ndoa* *https://chat.whatsapp.com/FW4aG9M68ruLjzC53NoNab* *🔽Hii ni channel maalum ya telegram kwajili ya mafunzo sahihi ya ndoa tu gusa link hii hapa chini ili kujiunga* *https://t.me/Mafunzo_sahihi_ya_ndoa* *VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE👌* *💉Kuwa muadilifu usibadili chochote* *🌹Mafunzo sahihi ya ndoa🌹*