
Kingstoretz
May 23, 2025 at 05:08 PM
🆕 WhatsApp imeanza majaribio ya kuruhusu mtumiaji kuwa na uwezo wa ku-share Status ya mtu mwingine.
Ukiona status ya rafiki yako, utakuwa na uwezo wa kuipost (re-post) kwenye Status zako bila kulazimika kumuomba akutumie ili uweze kui-post au kuihifadhi.
