
KitaaCtics: Where the Elite Meets The Streets
May 29, 2025 at 09:11 AM
Wale wapenzi wa NBA.
Tyrese Haliburton ambaye ni mlinzi katika timu ya Indiana Pacers ana rekodi ya aina yake ya kuwa mmoja ya wachezaji wanne tu katika historia ya NBA waliozaliwa February 29..
Alizaliwa February 29, 2000…
