KitaaCtics: Where the Elite Meets The Streets
KitaaCtics: Where the Elite Meets The Streets
May 31, 2025 at 05:10 AM
*SI MBAYA KUJUA* *Mfalme Aliyeomba Msamaha kwa Kuendesha Gari kwa Mwendo Mkali* Unaweza kudhani ni utani,lakini ilitokea.. Mwaka 2000, Mfalme Carl XVI Gustaf wa Uswidi alikamatwa akiendesha gari kwa mwendo mkali nchini Denmark. Alikiri kosa lake na hakukimbia, hakukanusha, hakutumia cheo chake kufanya ubabe. Badala yake, akaomba msamaha wa hadhara kwa wananchi. Alisema: _“Samahani, tulikuwa tuna haraka kwenda kuwapokea watoto uwanja wa ndege.”_ Mfalme huyo akaomba msamaha, kwa kosa la barabarani. Na si kwa shinikizo bali kwa utu na heshima. Sasa geuza kamera upande wa Afrika…Wangapi wa viongozi wetu wangeweza hata kufikiria kusema “pole” sembuse kuomba msamaha kwa kosa dogo tu kama hilo? 🤣🤣
Image from KitaaCtics: Where the Elite Meets The Streets: *SI MBAYA KUJUA*  *Mfalme Aliyeomba Msamaha kwa Kuendesha Gari kwa Mwe...

Comments