Sekretarieti ya Ajira
                                
                            
                            
                    
                                
                                
                                May 17, 2025 at 09:20 AM
                               
                            
                        
                            Wasailiwa wa kada mbalimbali wakifanya usaili wa vitendo katika Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) jijini Dodoma.
Usaili wa vitendo hufanyika ili kupima ujuzi kwa waombaji kazi na hatimaye kupata watumishi bora watakaoongeza ufanisi katika utendaji wa shughuli mbalimbali.
                        
                    
                    
                    
                        
                        
                                    
                                        
                                            👍
                                        
                                    
                                        
                                            ❤️
                                        
                                    
                                        
                                            😂
                                        
                                    
                                        
                                            👏
                                        
                                    
                                    
                                        10