START TEK
START TEK
May 27, 2025 at 11:55 AM
7️⃣. OS (Mfumo wa Uendeshaji) Android vs iOS | Windows vs macOS vs Linux – chagua unachokimudu na unachozoea 8️⃣. Chapa & Ubora Zingatia chapa zenye sifa nzuri na huduma baada ya mauzo (Apple, Samsung, Dell, Lenovo n.k.) 9️⃣. Vipengele vya Ziada 5G? Water resistance? Touchscreen? GPU ya design? Orodhesha unavyovihitaji 1️⃣0️⃣. Dhamana & Huduma Usinunue kifaa kisicho na warranty. Angalia kama kuna service center karibu nawe. 1️⃣1️⃣. Tathmini za Wateja Soma reviews na maoni. YouTube & GSMArena ni msaada mkubwa kabla ya uamuzi. 1️⃣2️⃣. Urahisi wa Kubeba Simu: Iwe inatoshea mkononi Laptop: Nyepesi (1-1.5kg) kama unasafiri sana 🔵Kidokezo cha Mwisho: Usikurupuke kununua – fanya utafiti, linganisha, uliza wataalamu. Unahitaji ushauri wa kitaalamu kabla ya ununuzi? 》Tuma DM sasa au comment jina la kifaa unachokifikiria. #techtips #primepursuits #vituvyakuzingatia #smartphone #laptop #watumiajiwajanja
🧠 3

Comments