START TEK
START TEK
June 7, 2025 at 08:37 PM
🔐 PRIVATE BROWSER & VPN: Je, unavitumia kwa usahihi? 🌐🕵️‍♂️ Katika ulimwengu wa kidigitali, faragha ya mtumiaji ni muhimu sana. Kila siku tunapotembelea tovuti mbalimbali, taarifa zetu binafsi zinaweza kunaswa kirahisi na: Wadau wa matangazo (ad trackers) Hackers Serikali au ISP (mtoa huduma wa intaneti) Hapa ndipo matumizi ya Private Browser na VPN (Virtual Private Network) yanapochukua nafasi muhimu. 👇 🌍 1. PRIVATE BROWSER ni nini? Ni kivinjari (browser) ambacho hakihifadhi historia ya matumizi, cookies, passwords wala cache baada ya kutumika. ✅ Mfano wa Private Browsers: Brave – Huzuia matangazo & trackers moja kwa moja Tor Browser – Huficha kabisa IP yako na njia zako za kutumia mtandao Firefox (Private Mode) Safari/Chrome (Incognito Mode) 🔸 Faida: Unabrowse bila kutunza historia Inazuia kufuatiliwa na matangazo Salama zaidi kwa kutembelea tovuti nyeti (benki, login za akaunti)
Image from START TEK: 🔐 PRIVATE BROWSER & VPN: Je, unavitumia kwa usahihi? 🌐🕵️‍♂️ Katika ...

Comments