START TEK
START TEK
June 7, 2025 at 08:38 PM
🔐 2. VPN ni nini? (Virtual Private Network) VPN huficha IP address yako halisi na kuunganisha intaneti kupitia server nyingine, hivyo kutengeneza “tunnel” salama kati yako na mtandao. ✅ VPN maarufu: NordVPN ExpressVPN Surfshark ProtonVPN (free) Psiphon (kwa simu) 🔸 Faida: Huficha mahali ulipo (location spoofing) Unapata access ya apps & websites zilizozuiliwa nchini Huzuia ISP au hackers kuona unachofanya Bora kwa kutumia public Wi-Fi (kama za migahawani) 🚫 Usidharau hatari hizi: ❗ Kutotumia Private Browser au VPN kunaweza kusababisha: Akaunti zako kuibiwa (email, bank, WhatsApp) Kupigwa hack kwa kutembelea links zenye spyware Kutangaziwa kila kitu ulichotafuta mtandaoni ✅ TIPS MUHIMU: Tumia VPN unapofanya malipo au ku-log in kwenye akaunti binafsi Weka private mode ukitumia kompyuta au simu ya mtu mwingine Epuka Wi-Fi za bure bila VPN Usifungue link za ajabu hata kama umetumiwa na rafiki 🔔 Unahitaji msaada wa kusanidi VPN salama au browser bora ya faragha? Tuandikie moja kwa moja. Tupo kwa ajili yako. 📩 [email protected] #starttek | #cyberawareness | #digitalprivacy | #vpn | #privatebrowser

Comments