SITTA SPORTS ARENA
SITTA SPORTS ARENA
June 9, 2025 at 11:28 AM
*TAARIFA KWA UMMA ⚽👇* Klabu ya Yanga imesema imewasilisha msimamo wao kwa Bodi ya Ligi Kuu wa kutoshiriki mchezo dhidi ya Simba SC uliopangwa kufanyika Juni 15, 2025, mpaka pale matakwa yao yaliyowasilishwa kwa maandishi kwa bodi hiyo yatakapotimizwa. Yanga ilitangaza kutoshiriki mchezo huo ikidai Bodi ya Ligi haikutenda haki baada ya mchezo huo kutochezwa Machi 08, mwaka huu. SITTA SPORTS UPDATES ⚽
Image from SITTA SPORTS ARENA: *TAARIFA KWA UMMA ⚽👇*  Klabu ya Yanga imesema imewasilisha msimamo wa...

Comments