
SITTA SPORTS ARENA
June 11, 2025 at 10:13 AM
*TABORA YAMPA SIKU MBILI ASWANI⚽*
Tabora Utd imemfukuza Brian Aswani ambae ni Performance na Video Analyst wa Tabora Utd kwenye nyumba anayoishi baada ya kudai madai yake ya mshahara wa miezi 5.
Tabora Utd imempa muda hadi Ijumaa awe ametoka kwenye nyumba hiyo, Aswani alijiuzulu kwa kutolipwa mshahara miezi 5.
CHANZO: NasibuMkomwa.
SITTA SPORTS UPDATES ⚽
