SITTA SPORTS ARENA
SITTA SPORTS ARENA
June 11, 2025 at 11:16 AM
*RONALDO ATHIBITISHA KUSALIA AL NASSR⚽* HABARI: Kupitia ujumbe aliouchapisha muandishi nguli wa habari za michezo na Mchambuzi wa masuala ya soka Fabrizio Romanio amethibitisha kupokea taarifa kuwa mchezaji wa Timu ya Taifa ya Ureno ambae anakipiga katika Klabu ya Al NASSR ya Nchini Saudi Arabia ataendelea kusalia Klabuni hapo kwani Hana muda mrefu sana wakuendelea kucheza soka la kulipwa. *_Taarifa hiyo ilisomeka kama ifuatavyo_👇* BREAKING: Cristiano Ronaldo confirms plan to stay at Al Nassr by signing new deal. “My future? Basically nothing is gonna change. Staying at Al Nassr? Yea”. SITTA SPORTS UPDATES ⚽
Image from SITTA SPORTS ARENA: *RONALDO ATHIBITISHA KUSALIA AL NASSR⚽*  HABARI: Kupitia ujumbe aliouc...

Comments