KENYA ON WATCH 🇰🇪
June 11, 2025 at 01:02 PM
Maseneta wamtuliza seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kufuatia mzozo na mwenzake wa Garissa Mohamed Haji wakati wa kikao cha seneti na waziri wa masuala ya ndani Kipchumba Murkomen na Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja
😂
😮
5