KENYA ON WATCH 🇰🇪
KENYA ON WATCH 🇰🇪
June 11, 2025 at 07:33 PM
Imebainika kuwa siku chache kabla ya kifo cha Albert Ojwang’, maafisa wa GSU walivamia kwa siri makao ya kampuni ya Standard Group wakidai kuchunguza kichwa cha habari bandia kilichosambazwa mtandaoni, ambacho kilimlenga Naibu Inspekta Jenerali Eliud Lagat.
👍 1

Comments