
Ajira Tanzania
May 18, 2025 at 02:33 PM
Naomba unisaidie kupost Vijana Wa kike 3 na kiume 3
Kazi godauni la vitambas vya masofa kariakoo
Majukumu
*Kupanga vitambaa
* Kuuza na kupima kwa mita
* Kuloli vitamba nk
Malipo kwa siku ni 8000/=
* Chakula mtapewa
Mawasiliano: 0792475706 usipige simu tuma sms
👍
😂
2