
Ajira Tanzania
1.4K subscribers
About Ajira Tanzania
Karibu kwenye channel yetu rasmi ya Ajira AI! π₯πΌ Tunakuunganisha na fursa bora za ajira, tunakupa ushauri wa kazi π―, na kukusaidia kufanikisha ndoto zako za kitaaluma kwa kutumia teknolojia ya kisasa. ππͺ π² Tufuate kwenye mitandao yetu ya kijamii kwa updates zaidi: π¦ Twitter: https://x.com/ajira_ai π§΅ Threads: https://www.threads.net/@ajiraai_tz πΈ Instagram: https://www.instagram.com/ajiraai_tz/ π₯ TikTok: https://www.tiktok.com/@ajira.tanzania π Facebook: https://www.facebook.com/AjiraTanzaniApp π‘ Sauti yako ni muhimu kwetu! Toa maoni yako hapa: π https://forms.gle/uhHViFSYjvMgnan4A π₯ Download app yetu hapa: π bit.ly/AjiraTanzaniaApp π₯ Jiunge nasi sasa na tufanikishe safari yako ya ajira pamoja! πΌπ
Similar Channels
Swipe to see more
Posts

Anahitajika binti au kijana wa kiume Kazi: Muhudumu Mahali;Upanga,Dar es salaam *Majukumu* 1. Kukaribisha na kuhudumia wateja 2. usafi wa mazingira ya cafe na vifaa vya kazi 3. Kupiga hesabu ya mauzo yake kila siku na kuyawasilisha *Vigezo* 1. Awe na uzoefu wa kazi 2. Awe na miaka kuanzia 18-25 3. Awe mwaminifu na ajue hesabu 4. Awe msafi ,mshapu na mwenye uchangamfu 5. Awe tayari kupangiwa kazi nyingine zinazohisika na cafe kama akihitajika 6. Awe anaishi upanga au maeneo jirani ili kuweza kuwahi kazini na pia kupunguza gharama za usafiri *Mshahara* . Atalipwa/kupokea kiasi Cha sh. Elf 5000/= kwa siku ila ataongezwa kutokana jitihada na utendaji kazi wa wake. Kwa mwenye huhitaji wa hiyo fursa na mwenye hivyo vigezo apige simu kwa namba: 0754205904

π’ TANGAZO LA KAZI Tunatafuta muuza bidhaa mwenye uzoefu wa kuuza DLDM kwa haraka sana. π’ Mahitaji: β Awe na uzoefu wa kuuza DLDM β Awe tayari kuanza kazi mara moja β Awe na nidhamu na uaminifu π Eneo la kazi: Mtwara π Malazi: Sehemu ya kuishi inapatikana bure π° Mshahara: TZS 100,000 kwa mwezi πΈ Allowance ya kila siku: TZS 2,000 (nje ya mshahara) β³ Nafasi ni ya haraka β anayejiona anafaa, wasiliana mara moja! π Wasiliana na Boss kupitia: 0674 300 675

```Nafasi mpya za kazi St. Maria girls' secondary. Wanahitajika walimu wa mahiri wa masomo yafutayo. 1. Mathematics 2. Biology na Chemistry (aweze kuandaa practicals) Shule inamilikiwa na Jimbo katoliki Njombe ipo wilaya ya Wanging'ombe kata ya Mdandu. Tuma maombi kabla ya tarehe 20 Juni 2025 kupitia Whatsapp namba 0769632020 ```

πΉ 1. Nurse (Muuguzi/Muuguzi Msaidizi) Vigezo: β’ Awe na cheti au diploma ya uuguzi β’ Awe na usajili halali kutoka TNMC β’ Uzoefu wa kazi utapewa kipaumbele β’ Awe na maadili na kujituma πΉ 2. Pharmacy (Mfamasia/Msaidizi wa Dawa) Vigezo: β’ Awe na cheti au diploma ya famasia β’ Awe na usajili wa baraza husika (PCPB) β’ Uelewa wa utoaji sahihi wa dawa β’ Awe makini na mwenye nidhamu πΉ 3. Dereva wa Ambulance Vigezo: β’ Leseni daraja C au zaidi (hai) β’ Uzoefu wa kuendesha ambulance au magari ya wagonjwa β’ Awe na elimu ya msingi au sekondari β’ Kufahamu ramsa za huduma ya kwanza ni faida *Eneo la kazi ni Kigamboni* Maombi Yatumwe Kupitia WhatsApp: π± 0616 348 095 (Tuma jina, nafasi unayoomba, na nakala ya vyeti husika)

Naomba Leo tufike followers 100π€© https://www.instagram.com/ajiraai_tz Gusa link hapo juu kutu follow


WANAHITAJIKA ; CCTV CONTROLLER nafasi 10. SECURITY OFFICERS nafasi 50 Wanahitajika kwa haraka . Kituo cha kazi Dar es Salaam. Tuma maombi : CV na Vyeti Email : [email protected] Au Tuma Watsap : 0685481916 Note : usipige simu ,tuma tu maombi yako.

Anaitajika mpishi wa kike eneo la kazi ni zinga bagamoyo mshahara 40,000 kwa wiki sehemu ya kuishi inapatikan uko uko,awe na vigezo vifuatavyo Awe anajua kupika vizuri Umri chini ya miaka 28 Awe na elimu kuanzia form four Awe mwaminifu na mchapakazi Awe na nida namba Mawasiliano 0762225861

WE ARE HIRING OPERATION OFFICERS ( CLEARING AND FOWARDING) (5) LOCATION; Dar es salaam QUALIFICATION -Must be a 24-30 years old -experience in clearing and forwarding 1 year and above -bachelor degree -competent in english language Interested candidate must send their cv to 0620125220

*TANGAZO LA KAZI* π *Sehemu ya kazi: Shinyanga Mjini* π© *Anahitajika Mwanamke Kusimamia Lodge* *SIFA:* - Umri: Miaka 18-45 - Awe anajua vizuri kuhesabu pesa - Mshahara: 100,000/= kwa mwezi - NIDA ni kipaumbele - Malazi na chumba vinapatikana hapo hapo lodge - Chakula juu ya Boss π *Tuma video fupi ukijitambulisha kupitia email:* π§ *[email protected]*