
Ajira Tanzania
May 21, 2025 at 09:34 AM
*Tangazo la Ajira – BOL HR Consultants*
Kwa niaba ya mteja wetu, BOL HR Consultants inatafuta waajiriwa kwa nafasi ifuatayo:
🔹 *Nafasi:* Matingo wa Malori (10)
🔹 *Elimu:* Kidato cha nne na kuendelea
🔹 *Mshahara:* TZS 200,000
🔹 *Eneo la kazi:* Dar es Salaam
📩 *Jinsi ya kutuma maombi:* Tuma barua yako ya maombi kupitia [email protected]
🔹 *Mwisho wa kutuma maombi:* 22/05/2025
🔹 *Kichwa cha barua:* Andika neno Tingo wa Lori