Ajira Tanzania
Ajira Tanzania
June 10, 2025 at 06:20 PM
🟢 TAARIFA YA MWEZI MEI - AJIRA AI 🟢 Mwezi Mei umetupatia matokeo mazuri sana! 🙌 ✅ Watu 34 wamefanikiwa kupata ajira kupitia Ajira AI 📞 Watu 106 waliitwa kwenye interview za kazi mbalimbali Tuna furaha kubwa kuona ndoto zenu zikitimia, na safari bado inaendelea! 💪🏽 Ajira AI ipo kwa ajili yako, na tungependa kusikia kutoka kwako – maoni yako ni muhimu sana kwetu. 🗣️ Tujulishe maoni yako hapa: 👉 https://forms.gle/KpNcjgMNbMnizgeY9 Tunakusikiliza, na tunaboresha kila siku kwa ajili yako. #ajiraai #ajirakwavijana #fursaninasi
Image from Ajira Tanzania: 🟢 TAARIFA YA MWEZI MEI - AJIRA AI 🟢 Mwezi Mei umetupatia matokeo maz...
❤️ 1

Comments