Ajira Tanzania
Ajira Tanzania
June 10, 2025 at 06:40 PM
📣 Sisi kama timu ya Ajira AI tupo kwa ajili yenu! Kila kipengele ndani ya app yetu kinatengenezwa kwa ajili yako – kijana wa Kitanzania unayetafuta ajira, fursa, na msaada wa kweli kwenye hii safari ya maisha. Lakini hatuwezi kufanya kila kitu peke yetu – tunataka kusikia kutoka kwenu: 💬 Ungetamani tuongeze huduma gani kwenye app? 🤖 Ungependa AI ikusaidieje kwenye kutafuta ajira? 🔧 Kuna sehemu yoyote kwenye app inayokusumbua au ungetaka iboreshwe? 📝 Tujulishe kwa kujaza fomu hii fupi: 👉 https://forms.gle/KpNcjgMNbMnizgeY9 Sisi kama Ajira AI Team tunawasikiliza 100%. Maoni yenu ndiyo mwanga wetu – tunayachukulia kwa uzito mkubwa ili tuiboreshe app iwe bora zaidi na ikidhi mahitaji halisi ya vijana wa Tanzania. Asanteni kwa kuendelea kuwa sehemu ya safari hii. #ajiraai #tunakusikiliza #ajirakwavijana

Comments