
TRT Afrika Swahili
May 27, 2025 at 01:13 PM
Kimnyole Arap Turukat alikuwa ni kiongozi wa nne wa kiroho katika jamii ya Wanandi nchini Kenya, mwanzoni mwa miaka ya 1800.
Alisifika sana kwa tabiri zake, ambazo kwa kiasi kikubwa zilibadilisha maisha ya Wanandi kutoka bonde la ufa nchini Kenya.
https://youtu.be/ejpv5aMpWec
❤️
1