
TRT Afrika Swahili
May 28, 2025 at 05:43 PM
“Sitaondoka hapa isipokuwa ni kuelekea kufanya hajji”
Hujaji mmoja kutoka Libya aliyeachwa na ndege amekuwa gumzo baada ya ndege hiyo iliyomuacha kushindwa kuendelea na safari hadi walipomkubalia kupanda ndege nao kuelekea Saudia
https://trt.global/afrika-swahili/article/2e3d0e768ef1
❤️
😢
10