
JamiiForums
June 9, 2025 at 03:23 PM
DAR: Akihojiwa na Mwanahabari Salama Jabir katika eneo la Kanisa lake Kawe, Mtume Bonicafe Mwamposa amesema Rais Samia aliwahi kumtuma Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila kupeleka sadaka yake ya Ujenzi wa Kanisa hilo, akisema kutambua kuwa kuna Watu wa Mungu ni jambo la Baraka, wanajua wana Rais na wanamuombea
Zaidi https://jamii.app/MwamposaRais
🖕
🚮
😢
😂
🤲
🎉
👍
💔
😮
🙆♂️
23