JamiiForums

JamiiForums

716.2K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
June 10, 2025 at 08:29 AM
Kupitia Jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko ndani ya JamiiForums.com, Mwanachama anasema baadhi ya Wafanyakazi wenzake ambao ni 'wakongwe' hapo Ofisini wamemchukia na hata hawamsalimii baada ya kugundua analipwa Mshahara mkubwa zaidi yao wakati yeye ni Mfanyakazi mpya Je, nawe umeshawahi kupitia changamoto hii, ulifanyaje? Tembelea mjadala huu zaidi https://jamii.app/MshaharaKuchukiwaKazini
Image from JamiiForums: Kupitia Jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko ndani ya JamiiForums.com...
👍 😢 🙏 ❤️ 😂 8

Comments