
JamiiForums
June 10, 2025 at 10:59 AM
*RUVUMA* : Baadhi ya majengo ya Shule ya Sekondari ya Jenista Mhagama iliyopo Halmashauri ya Songea yameungua kwa Moto ikiwemo Mabweni ya Wanafunzi wa kike na Stoo ambapo awali Mdau wa JamiiForums.com alidai moto huo umetokana na hujuma
Mkuu wa Wilaya, Wilman Ndile, alipoulizwa kuhusu tukio hilo amesema “Moto umesababisha hasara kubwa, umeharibu majengo, Chakula cha Wanafunzi cha thamani ya Tsh. Milioni 1, vingine vilivyoungua ni Magodoro na Vifaa ya Umeme
DC amesema Mwanafunzi alichoma Moto Dhule mara tatu tofauti, Mei 31, Juni 1 na Juni 3, 2025, kwa sasa anashikiliwa anatarajiwa kupelekwa Mahakamani, tumezungumza na Wazazi wake nao pia wamekiri kuwa Mtoto wao ni mkorofi.
Soma https://jamii.app/ShuleYaMhagama

😂
😢
😮
👍
😭
❤️
🇹🇿
👏
😀
🙏
46