JamiiForums

JamiiForums

716.2K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
June 10, 2025 at 04:55 PM
Kada wa Chama cha ACT Wazalendo, Selemani Said Bungara (Bwege) amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiko sahihi kudai Mabadiliko ya Mfumo wa Uchaguzi lakini ameonesha wasiwasi kama wataweza kushikilia msimamo wao huo kwa bila ruzuku kwa Miaka mitano ijayo Akihojiwa na EATV, Bwege aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilwa Kusini kwa Miaka 10 (2010- 2020) kupitia Chama cha Wananchi (CUF) kabla ya kuhamia ACT Wazalendo ameongoza kuwa CHADEMA wakishikilia msimamo huo hadi Mwaka 2030 watakuwa Chama imara zaidi huku akidai ACT inasubiri huruma ya CCM katika Uchaguzi Soma https://jamii.app/BwegeKuhusuUchaguzi
👍 😂 ❤️ 🙏 😆 😢 ✔️ 🇷🇺 🇹🇿 59

Comments