
JamiiForums
June 11, 2025 at 05:13 PM
TABORA: Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limekanusha kuwa mtu aliyetambulika kuwa Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Igunga aliyeonekana akimuomba msamaha Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, si mtumishi wa Jeshi hilo
Kamanda wa Polisi Mkoa, Richard Abwao, amesema baada ya msako wamemkamata mtu huyo aliyetambulika kwa jina la Daud Paul Delim (49), Mkazi wa Mbagala A Wilayani Igunga aliyejifanya ni Mkuu wa Kituo cha Polisi
Ameongeza kuwa anaendelea kuhojiwa ili kujua alioshirikiana nao kuandaa picha mjongeo hiyo hasi na potofu na kuisambaza ili hatua stahiki za kisheria dhidi yao zichukuliwe
Soma https://jamii.app/RPCTabora
😂
👍
🖕
😢
😮
🙏
❤️
👏
😹
🥳
47