JamiiForums

JamiiForums

716.2K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
June 12, 2025 at 05:28 AM
Leo Juni 12, 2025 Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka 2025/26 inatarajiwa kusomwa Bungeni Mdau, unadhani Serikali itawekeza zaidi kwenye Sekta gani muhimu? Unadhani bajeti itagusa maisha yako kwa unafuu wa kodi, fursa mpya za ajira au maboresho katika huduma za kijamii? Mjadala https://jamii.app/BajetiKuu26
Image from JamiiForums: Leo Juni 12, 2025 Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka 2025/26 inatarajiwa...
👍 🖕 😂 🚮 🌹 👠 💰 😮 🙏 🤬 21

Comments