JamiiForums

JamiiForums

716.2K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
June 12, 2025 at 07:44 AM
Rais William Ruto amesema Usalama wa Kenya ni Haki ya Wananchi, hivyo Wahalifu wote wawe Raia au Maafisa wa Usalama wa Taifa lazima wawajibishwe Kisheria Kauli hiyo ni baada ya uchunguzi wa Mwili wa Mwanaharakati na Mwanamitandao Albert Ojwang' aliyedaiwa kufariki kwa kujigonga ukutani, kubaini kuwa aliteswa na kupigwa vibaya akiwa chini ya ulinzi wa Polisi Aidha, Bunge liliahirisha shughuli zake kujadili suala hilo ambapo Waziri wa Mambo ya Ndani, IGP, Mkurugenzi wa Upelelezi wa Jinai (DCI) waliitwa kujibu maswali kuhusu kesi hiyo, ambapo Taasisi ya Kusimamia Utendaji wa Polisi (IPOA) ilieleza Mifumo ya CCTV katika ofisi ya Mkuu wa Kituo Kikuu cha Polisi alipokuwa akishikiliwa Albert ilichezewa Zaidi https://jamii.app/RutoUhalifu Video Credits: BBC Swahili
❤️ 👍 😢 🇹🇿 💀 🙏 😂 😮 29

Comments