JamiiForums

JamiiForums

716.2K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
June 12, 2025 at 08:57 AM
Mdau wa JamiiForums.com kwenye Jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko anasema tangazo la Serikali kuwa uchaguzi Mkuu utafadhiliwa kikamilifu kwa fedha za ndani ni habari njema kwa uhuru wetu wa kisiasa lakini je, hii inaweza kuathiri ugawaji wa rasilimali kwenye miradi ya maendeleo au huduma za kijamii? Anaongeza kuelekea kusomwa kwa Bajeti Kuu kwa mwaka wa fedha 2025/26, tujiulize; Je, tumetenga fedha za kutosha kwa uchaguzi bila kukwamisha miradi mingine muhimu kama afya, elimu na miundombinu? Mdau anaendelea kwa kuhoji ni mikakati gani mipya ya mapato inakuja kusaidia kuhakikisha tunafikia malengo yote bila kumuumiza Mwananchi wa kawaida? Mjadala https://jamii.app/BajetiKuu26
Image from JamiiForums: Mdau wa JamiiForums.com kwenye Jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko a...
😂 👍 🙏 ⚖️ 👁️ 👂 14

Comments