JamiiForums

JamiiForums

716.2K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
June 12, 2025 at 09:49 AM
Mshiriki wa Stories of Change 2022 alisema Viongozi wateule waache kuwapotezea muda Wananchi wanapotafuta Haki kwenye Migogoro ya Ardhi sababu wapo wanaohangaika Miaka miwili bila kupata Haki na endapo RC au DC akibadilishwa Mtu anaanza kuteseka upya badala ya kueleweshwa tangu mwanzo ili aende kwenye Mabaraza ya Ardhi Soma zaidi https://jamii.app/WateuleMigogoroArdhi
Image from JamiiForums: Mshiriki wa Stories of Change 2022 alisema Viongozi wateule waache kuw...
👍 ❤️ 😢 🙏 8

Comments