JamiiForums

JamiiForums

716.2K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
June 12, 2025 at 10:36 AM
Mdau wa JamiiForums.com kwenye Jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko anasema vipaumbele vya Serikali katika Bajeti Kuu kwa 2024/25 vilikuwa Kukamilisha miradi ya kielelezo na ya kimkakati, Kuimarisha Sekta za Uzalishaji, Kuimarisha Rasilimali Watu hususan Sekta za Jamii, Kuongeza matumizi ya TEHAMA na Kuboresha mazingira ya ufanyaji biashara na uwekezaji wa Sekta Binafsi Pia, kugharamia mishahara ya Watumishi wa Umma, Deni la Serikali, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa mwaka 2024 na maandalizi ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2025 na Maandalizi ya Dira ya Maendeleo 2050 Mdau, unadhani vipaumbele kwa Serikali katika Bajeti Kuu ya Mwaka huu vitakuwa ni vipi? Mjadala https://jamii.app/BajetiKuu26
Image from JamiiForums: Mdau wa JamiiForums.com kwenye Jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko a...
👍 ❤️ 😮 🙏 6

Comments