JamiiForums

JamiiForums

716.2K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
June 12, 2025 at 12:44 PM
BUNGENI: Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander Mkumbo akiwasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa Mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2025/26, amesema utafiti uliofanywa na Taasisi ya Afrobarometer, Juni – Julai 2024 ulionesha kuwa 71% ya Wananchi waliohojiwa walisema wanaridhishwa na utendaji wa Serikali na 70% walisema nchi ipo katika mwelekeo sahihi. Soma https://jamii.app/UtendajiSerikali
😂 🚮 🖕 😮 💩 😓 😢 😭 👍 🗣 55

Comments