JamiiForums

JamiiForums

716.2K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
June 12, 2025 at 02:20 PM
Serikali imesema baadhi ya maeneo yaliyopelekewa Fedha katika kipindi cha Julai 2024 hadi Mei 2025 ni ugharamiaji wa Deni la Serikali Tsh. Trilioni 11.16, ugharamiaji wa Mishahara ya Watumishi wa Umma Tsh. Trilioni 10.27; na maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 Tsh. Bilioni 741.5. Akisoma Bajeti Kuu Bungeni, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema Serikali imeendelea kulipa madeni yaliyohakikiwa ya Wakandarasi, Wazabuni na Watoa Huduma katika kujenga Taifa, ambapo kiasi cha Tsh. Trilioni 1.01 kimelipwa Amesema ulipaji wa Madeni umesaidia kulinda Mitaji na kuchochea shughuli za kiuchumi Nchini Soma https://jamii.app/BajetuKuu2025
Image from JamiiForums: Serikali imesema baadhi ya maeneo yaliyopelekewa Fedha katika kipindi ...
😢 👍 🖕 😭 8

Comments