JamiiForums

JamiiForums

716.2K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
June 12, 2025 at 02:26 PM
Serikali imesema Tsh. Trilioni 1.58 zilitolewa katika ujenzi wa Barabara, Madaraja na Viwanja vya Ndege; Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Reli ikiwemo Mradi wa ujenzi wa Reli ya Kiwango cha Kimataifa (SGR) Tsh. Trilioni 1.68 Aidha, Mradi wa Kufua Umeme katika Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) MW 2,115 na Mradi wa kusambaza Umeme Vijijini kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) zilitolewa Tsh. Bilioni 574.8; na Ujenzi na Ukarabati wa Viwanja vya Mpira kwa ajili ya Maandalizi ya AFCON 2027 Tsh. Bilioni 179.8 Soma https://jamii.app/BajetuKuu2025
Image from JamiiForums: Serikali imesema Tsh. Trilioni 1.58 zilitolewa katika ujenzi wa Baraba...
😢 😂 👍 🖕 😭 12

Comments