JamiiForums

JamiiForums

716.2K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
June 12, 2025 at 02:31 PM
Serikali imesema Tsh. Bilioni 636.0 zimetolewa katika Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu na Vyuo vya Kati; Programu ya Elimu ya Msingi na Sekondari bila Ada Tsh. Bilioni 444.7 Waziri Mwigulu Nchemba amefafanua kuwa Miradi ya Maji Mijini na Vijijini Tsh. Bilioni 378.7; Ununuzi wa Dawa, Vifaa, Vifaa tiba na Vitendanishi kwa ajili ya Hospitali za Mikoa, Kanda na Rufaa Tsh. Bilioni 414.7; Ujenzi na Ukarabati wa Hospitali za Wilaya, Mikoa, Kanda na Rufaa Tsh. Bilioni 47.2; na Ujenzi wa Vituo vya Afya na Zahanati Tsh. Bilioni 7.3. Soma https://jamii.app/BajetuKuu2025
Image from JamiiForums: Serikali imesema Tsh. Bilioni 636.0 zimetolewa katika Mikopo ya Wanafu...
😤 😮 🖕 😂 😡 😢 🤮 10

Comments