JamiiForums

JamiiForums

716.2K subscribers

Verified Channel
JamiiForums
JamiiForums
June 12, 2025 at 05:08 PM
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amependekeza kufanya marekebisho kwenye Sheria ya Kodi ya Mapato, Kutoza kodi ya zuio kwa kiwango cha 10% kwenye malipo ya Kamisheni inayotokana na matangazo ya Michezo ya kubahatisha Amesema Kodi hii itakuwa ni kodi ya mwisho (final), lengo la hatua hii ni kuendana na Kanuni za usawa za utozaji kodi na kupanua wigo wa kodi, na hatua hii inatarajia kuongeza mapato ya Serikali kwa kiasi cha Tsh. Milioni 6,787.2 Soma https://jamii.app/BajetuKuu2025
Image from JamiiForums: Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amependekeza kufanya marekebisho kwen...
👍 😂 4

Comments