TCRA TANZANIA

TCRA TANZANIA

256.0K subscribers

Verified Channel
TCRA TANZANIA
TCRA TANZANIA
May 14, 2025 at 06:16 AM
📌Wiki ya Ubunifu Tanzania 2025 TCRA inashiriki katika maonesho katika Kongamano ya Wiki ya Ubunifu yanayofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Mwl. Julius Nyerere (JNICC) tarehe 12 hadi 16 Mei, 2025. Kongamano hilo hufanyika kila mwaka, na mwak akauli Mbiu ni Katika maonesho hayo, TCRA inatoa elimu mbalimbali ikiwemo kuhusu rasilimali za mawasiliano zinazotolewa kwa wabunifu chipukizi katika sekta ya Mawasiliano, Usalama mtandaoni pamoja na elimu ya leseni kwa wakezaji katika sekta ya Mawasiliano. Kauli Mbiu: “Ubunifu kwa Maendeleo Bora” #innovationweektz2025 #tcratz
Image from TCRA TANZANIA: 📌Wiki ya Ubunifu Tanzania 2025  TCRA inashiriki katika maonesho katik...
👍 😂 🙏 ❤️ 😮 11

Comments