TCRA TANZANIA

TCRA TANZANIA

256.0K subscribers

Verified Channel
TCRA TANZANIA
TCRA TANZANIA
May 22, 2025 at 11:17 AM
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabiri Bakari amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika - (PAPU) Dkt. Sifundo Chief Moyo, tarehe 21/05/2025 katika makao makuu ya ofisi za TCRA jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo hayo wamejadili masuala mbalimbali kuhusu ushirikiano wa TCRA na PAPU. TCRA inaendelea kusimamia sekta ndogo ya Posta na kuhakikisha uwepo wa huduma bora na salama kwa jamii. #tcratz #mikutanonawadauwamawasiliano #sektayaposta
👍 😮 3

Comments