TCRA TANZANIA

TCRA TANZANIA

256.0K subscribers

Verified Channel
TCRA TANZANIA
TCRA TANZANIA
June 2, 2025 at 05:39 PM
UFAFANUZI WA MUUNDO WA NAMBA ZA POSTIKODI - Kata ya Ifakara Postikodi ni nini? Ni namba yenye tarakimu tano (5) inayotambulisha kata, namba hii inatumika kutengeneza taarifa kamili ya Anuani ya Makazi. Anuani ya Makazi huundwa na namba ya nyumba, jina la mtaa na postikodi kwa pamoja hutumika kutoa utambulisho wa mahali alipo mtu au kitu fulani kwa ngazi ya utawala ya kata kwa usahihi. #tcratz #elimukwaumma #sektayaposta #rasilimalizamawasiliano #postikodi #postcode #anuanizamakazi
👍 😢 🙏 5

Comments