
TCRA TANZANIA
June 5, 2025 at 08:11 PM
‼️TAHADHARI‼️
Ndugu watumiaji wa huduma za mawasiliano, Mamkala ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inawakumbusha kuwa haiwasiliani na watumiaji kupitia namba ya simu ya kawaida. Hivyo tafadhali ripoti namba zote zinazosambaza jumbe hizi kwenda 15040
#tcratz #nirahisisana #sitapeliki

👍
❤️
😂
😢
🙏
15