
TCRA TANZANIA
June 6, 2025 at 06:05 PM
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), inawatakia heri ya sikukuu ya Eid-Al-Adha waumini wa dini ya Kiislamu na Watanzania wote. Sikukuu hii ikawe yenye amani na furaha.
#tcratz #eidmubaraka #eiduladha

🙏
❤️
7