
TCRA TANZANIA
June 9, 2025 at 11:31 AM
🆕 TCRA TANZANIA Podcast ya Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) sasa inapatikana kwenye majukwaa yote ya redio mtandao.
Sikiliza vipindi mbalimbali vya elimu kwa umma, maendeleo ya sekta ya mawasiliano, uchumi wa kidijiti.
Ingia kwenye majukwaa lako pendwa kama vile Spotify, Apple podcast, Buzzsprout, Podbean au Google podcasts kisha tafuta chaneli ya “TCRA TANZANIA” utaipata, tufuatilie na kuweka miadi ilikupata taarifa mara tunapo pakia vipindi vipya.
#tcratz #mawasiliano #elimukwaumma #podcast #tanzania #publicawareness #digitaleconomy #digitalliteracy

👍
🙏
5