TCRA TANZANIA

TCRA TANZANIA

256.0K subscribers

Verified Channel
TCRA TANZANIA
TCRA TANZANIA
June 12, 2025 at 03:41 PM
Mkurugenzi wa Masuala ya Leseni na Ufuatiliaji Ndg. John Daffa akitoa wasilisho wakati wa kikao-kazi kati ya TCRA na wamiliki wa makampuni ya ulinzi ya Zanzibar ndani ya ukumbi wa ZSSF Michenzani Mall tarehe 12 Juni 2025, Zanzibar. Mkurugenzi ameambatana na Meneja wa TCRA Ofisi ya Zanzibar Bi. Esuvatie Masinga pamoja na maofisa wa ofisi hiyo wameshiriki kikao hicho kilicho angazia mapitio ya Kanuni ya Leseni ya 2018 iliyofanyiwa marekebisho 2025, umuhimu wa kupata leseni katika matumizi ya redio za VHF/UHF. TCRA itaendelea na dhana yake ya usimamizi wa sekta ya mawasiliano kwa mashauriano na wadau wake ili kuhakikisha mustakabali bora wa ukuaji wa sekta ya mawasiliano. 📷 https://www.instagram.com/p/DKzlmTmv2R3/?img_index=1 #tcratz #stakeholders #mikutanonawadauwasektayamawasiliano #sektayautangazaji
Image from TCRA TANZANIA: Mkurugenzi wa Masuala ya Leseni na Ufuatiliaji Ndg. John Daffa akitoa ...
👍 2

Comments