Dr. BUDODI
Dr. BUDODI
May 17, 2025 at 01:07 PM
Ilikuwa jioni, mwanga wa machweo ukipenya kupitia madirisha ya hospitali. Nilikuwa nikitembea kuelekea chumba cha kubadilishia nguo(Changing room) baada ya siku ndefu ya kuona wagonjwa. Hatimaye, zamu yangu ilikuwa inaisha, na nilikuwa tayari kurejea nyumbani.  
Image from Dr. BUDODI: Ilikuwa jioni, mwanga wa machweo ukipenya kupitia madirisha ya hospita...

Comments