Dr. BUDODI
Dr. BUDODI
May 18, 2025 at 06:07 PM
Kuwa daktari si tu kushiriki maumivu na machungu ya wagonjwa lakini hata furaha kama kupona kwa mgonjwa au kupokea mtoto. Leo, nataka kushiriki nawe moja ya dalili za hatari baada ya kujifungua au kupoteza mimba: maumivu makali ya tumbo chini ya kitovu baada ya kujifungua au kutoa mimba. Ni muhimu kwa mwanamke anaepata dalili hii kurudi hospitali mapma. Nitatumia visa vya baadhi ya wagonjwa wangu (majina yao yamebadilishwa kwa usiri) na takwimu za utafiti ili kukuonyesha umuhimu wa jambo hili.
Image from Dr. BUDODI: Kuwa daktari si tu kushiriki maumivu na machungu ya wagonjwa lakini ha...

Comments