Dr. BUDODI
Dr. BUDODI
June 4, 2025 at 02:04 PM
Fikiria ovari zako kama ghala hivo kuna kiwango fulani cha mayai kisichoweza kuongezeka, lakini ghafla mayai hayo inapungua na kuisha kabla ya muda uliotakiwa. Hali hii hutambulika kitaalamu kama Premature Ovarian Insufficient (POI), hali ambayo huathiri wanawake ni changamoto kubwa kwa wale wanaotamani kuitwa mama. Ni kama mwili wako unaacha kupevusha mayai kabla hujafikisha miaka 40, matibabu ya kisasa kama upandikizaji huongeza tumaini kwa wanawake wenye hili tatizo. Hebu tuchunguze POI ni nini, kwa nini inazuia ujauzito, na jinsi unavyoweza kuvuka kikwazo hiki na kupata mtoto wako.
Image from Dr. BUDODI: Fikiria ovari zako kama ghala hivo kuna kiwango fulani cha mayai kisic...

Comments