Dr. BUDODI
Dr. BUDODI
June 5, 2025 at 03:26 PM
Je, unaona maziwa yako yanavuja aidha kwa kutoka mazikwa au majimaji hali yakuwa huna ujauzito wala mtoto mchanga, au hedhi zako zinabadilika bila sababu? Hali ya viwango vya vya juu vya homoni ya kutengeneza maziwa, inayoitwa hyperprolactinemia, changamoto hii ambayo ni sababu kubwa ya wanawake wengi kushindwa kuzaa. Uthibiti mbovu wa homoni ya prolactin hupelekea kuathirika kwa mchakato wa upevushaji wa mayai. Tutajadili kwa undani hyperprolactinemia ni nini, kwa nini inazuia ujauzito, na jinsi unavyoweza kuitibu ili upate mtoto.
Image from Dr. BUDODI: Je, unaona maziwa yako yanavuja aidha kwa kutoka mazikwa au majimaji h...
❤️ 1

Comments