Dr. BUDODI
Dr. BUDODI
June 9, 2025 at 03:07 PM
Mirija yako ya uzazi inatakiwa kuwa wazi ili kusaidia urutubishaji wa yai na hata kusafirisha yai lolirutubishwa kwenda kwenye mji wa mimba ili kutunga mimba. Shughuli mbali mbali za kimatibabu kama upasuaji kwenye viungo vya nyonga na hata mfumo wa uzazi zinaweza athiri ubora wa mirija na hata kuiziba kabisa, kuathirika kwa mirija kwa michubuko na makovu au kuziba husababisha utasa. Bila njia sahihi za kumsaidia mwanamke mwenye hali hii si rahisi kuzaa kwa njia ya kawaida. Makala hii inaangalia hili swala kwa undani na kutoa suluhisho kwa mwanamke mwenye changamoto hii.
Image from Dr. BUDODI: Mirija yako ya uzazi inatakiwa kuwa wazi ili kusaidia urutubishaji wa ...

Comments