
IslamicForum
May 15, 2025 at 04:44 PM
Bendera walizokuwa wakibeba za Uislamu zimetupwa na kupandishwa bendera ya Ukoloni na Kilemba kimetupwa mwendo wa suti na tai, sasa ni mwendo wa kukumbatia Maadui na kuwa kibaraka wao mtiifu tena kwa kuinamisha kichwa chini!.
Ni suala la muda tu utakuwa dhalili kama si hapahapa duniani basi kesho Akhera.
