IslamicForum
May 19, 2025 at 09:04 AM
Lau hadithi ya #firauni isingetajwa ndani ya #quran, tungekuwa tunasoma kwamba alikufa shahidi kwa kuzama majini wakati akiilinda nchi yake wakati akiwafukuza magaidi.