IslamicForum
May 21, 2025 at 09:33 AM
Maria Akbar anasema kuwa viongozi wa Kiarabu wa Ghuba, waliobarikiwa kwa utajiri na ushawishi wa kuathiri Ummah, wameiacha Gaza katika saa yake ya giza kuu.
Tangu Oktoba 7, 2023, Wapalestina wamevumilia kifo, njaa na uharibifu usio na huruma, na nchi yao kuharibiwa.
Wahusika wakuu wa mauaji haya ya kimbari wamekuwa Israel lakini wasingeweza kufanya hivyo bila msaada wa kijeshi, kifedha na kisiasa wa Marekani.
Hata hivyo wiki iliyopita viongozi wa Saudi Arabia, Qatar na Imarati walimtandazia zulia jekundu kiongozi huyo wa Marekani, wakaijaza nchi yake matrilioni ya dola.
Chanzo cha habari https://5pillarsuk.com/2025/05/19/gulf-leaders-have-betrayed-the-ummah-with-their-fawning-embrace-of-donald-trump/?fbclid=IwZXh0bgNhZW0CMTEAAR7yLfoDhvqX9D63_geCs2PeMO7JgZkXTRnnaZeAC0X6JlIiZX0xBKq4jly16w_aem_3kjmCqmTVi0AX-q_Yi--CA